TUNA AINA MBALIMBALI ZA BIDHA ZETU TUNAZO ZIZALISHA
I.TUNAYO BATI AINA YA IT4/IT5
II.TUNAYO BATI AINA YA CHENGACHENG
III.TUNAYO BATI MGONGO MDOGO
IV.TUNAYO BATI YA VESA TILES
V.TUNAYO BATI AINA LUGOBA
Hi ni bati ambayo inapatika katika kiwanda chetu ambayo imejizolea sifa nyingi za mda mlefu kwa kuwa na muonekano mzuri ikiongonzwa muonekano wa mikunjo na migongo mikubwa mitano ambapo kwa lunga ya kitalamu inaitwa IT4 AU IT5 wakiwa wanamanisha ni bati yenye migongo 4 au 5 .Bati zinazo zalaishwa kwenye kiwanda kwetu ni bola na niimala zaidi kwa kuwa uzalishaji wake umefata taknologia ya kisasa zaidi
Hii ni bati ambayo ni mpya ambayo ndo imeingia sokoni na imekuwa na uhitaji mikubwa sana kwa kuwa imepokelewa vizuri pia ni imalazl zaidi kwa kuwa imetengenezwa kwa ustadi mkubwa sana na imetengenez kwa tegnologia ya kisasa kwa kushilikiana na watalamu wa Ndani n Nje ya Nchi ili ilete matokea ambayo yataleta ushidani bola wa kimazingilia
Hi ni bati ambayo imejitwalia sifa nyingi tangia enzi za Babu zetu na mpaka sasa zimezidi kuchukua nafasi hio zaidi zikija na muonekano mpya kabisa wa kuwa na madini ya Zink na aluminiamu na kuwa na ufanisi wa hali ya juu na kuwa na uwezo wa kudumu mpaka uzeeni na hii utapewa warrant kuanzi miaka 20 na zaidi na hii ni bati ambayo ina miundo ya migongo midogo yaani kuanzia migongo 12 na zaid ya hio kulingana na upana unao uhitaji
Hi ni bati ambayo ni bati ya kigae ambaye itengenezwa kwa ustard mkubwa sana na kwa kutumia mashine za kisasa na watalamu ambao wanaijua kazi hii.Bati hii imetengenezwa kwa mfumo wa kiga na zaidi zipo aina mbalimbali kulingana na aina gani unayo hitaji na uliyo pendezwa nayo na Pia bati hii unaweza ukapata kulingana na vipimo unavyo hitaji na lamani utako kuwa unahotaji hizi bati zitazalishwa kulingana na lamani ya nyumba yako au paa lako na haina haja ya kuingia garama ya kukatakata matati na kuingia hasala zaidi zaidi cha kufanya ni kuleta vipimo vyako kiwandani na kukuzalishia kadri kulingana na vipimo vyako
Hi nayo ni bati ya aina yake ambayo imekuja na tecknologia ya kisasa kwa kuwa na langi zaidi ya moja kwenye bati moja na hii imejikita kuleta ua kutoa muonek wa tofati na wengine na zaidi.Na hii ni zaidi ya muonekano mpya ambao bado haujafika kwa watumiaji zaidi na ni bati ambayo inazidi kuchukua soko kwa kuwa na muonekano momoja kwa wakati mumoja
1,CRIMPINGI
Hi ni aina ya bati ambayo husaidia sana kwa wale wanao hitaji kutengeneza eneo la pakingi za Gari au kuzuia maji ya mvua kuingia ndani
2.KOFFIA NA VALLE
Valle ni kifaa ambacho kinasaidia kwenye nyumba yako sehemu za kona na sehemu za makutona ya bati kusaidia kukusanya maji na kuyaweka china au kuyaweka kwenye mfumo wa maji ambao utakuwa umewekwa kwenye nyumba na Koffia nazo vivyo hivyo ndo mifuniko itakao funika kwenye maunganiyo ya bati na kuweka muonekano mpya kwenye nyuma yako
Huu ni mfumo maalumu wa upumuaji au wa hewa ambao unawekwa zaidi kwenye magodauninmakumba na sahemu nyingine za viwanda ili kuingiza hewa ndani na kusaidia kupunguza joto.huu mfumo au hii vete weter imetengenezwa kwa umakini zaidi na ubola zaidi
Tunayo misumali ambayo ni mizuli na imetengenezwa kwa weledi mukumba kwa mfano misumali ya bati imetengenezwa moja inakuwa na saili ya tred ili kusaidia bati kushikiliwa kwa mda mlefu na kuzuia wakati wa upepo mkali kubanduka kwa bati pia imetengenezwa kwa mfumo wa laba ambayo inakuwa katikati ili kutuia maji kuingia ndani
Tutakusafilishia mzigo wako kama sehemu ya kukuunga mkono mteja wetu popote ndani ya Tanzania na tutahakikisha wewe mteja unafikiwa na mzingi ndani ya wakati
Mteja wetu anapo nunua bidha kiwandani kwetu atapata misumali bure kuanzia kg 5 na kuendelea kulingana na kiasi cha bati utakazo nunua
Kwa wateja wetu wa mikoani tunazo njia nzuri za malipo kwa njia ya account za bank zetu na ukaweza kupata mzigo wako .Angalizo kumbuka kuwasiliana na namba za simu zilizo wekwa kenya Tovuti yetu hii lipia kupitia acaaount hii ya BANK
Hizi ni moja kati ya chache za wateja wetu wa mikoani ambao walipokea mizigo yao
MSIKILIZE SHUHUDA HUYU