Karibu sana wewe mtembelea wetu ambaye umechukua mda wako wa kuwa karibu nasi kwa kuja kwenye hii moja ya Offical socal midia zetu za kiwanda cha BATI BOMB TZ LTD na kujikita kufata maelekezo na utalatibu ambao utaufata na kuuona na kujipatia huduma ambayo itakufaa.Nichukue jukumu hili tena kwa kukushukulu sana na kukutakia ufatiliaji mwema na kufata maelekezo ambayo ni sahihi kutoka kenye site hii ya Kiwanda chetu na zaidi tukikusihi uchukuwe tahathali zaidi wakati unatembelea site zingine zinazo fanana na hizi