Tunatoa lai kwa wote wanao agiza mizigo yao kuangiza kwa kupitia maafisa masoko wa kiwanda chetu si vinginevyo na pia tunatoa lai kutumia namba ambazo zimewekwa kwenye hii socal midia zetu ili kuepuka upoteani wa mizigo hata utapeli tuna shauli zaidi kama kutakuwepo na shida yoyote itakayo jitokeza ikiwemo kuchelewa kwa mzigo wako au kuto pata ushilikiano wa aina yote pindi utakapo fanya malipo tunaomba ufike kiwandani ao wasiliana nasi kwa nomber 0754969418